Dira na Dhima
DIRA
Kuwa Taasisi ya Kitaifa ya Haki za Binadamu inayoaminika kuongoza Jamii kufurahia haki za binadamu,kuzingatia misingi ya utawala bora na kuheshimu utu wa mtu.
DHIMA
Kuiongoza Jamii kuwa ya Haki kupitia ukuzaji,ulinzi na utunzaji wa haki za binadamu na misingi ya utawala bora kwa kushirikiana na wadau.