Kitengo cha Uhasibu
i.Kupokea/kuwasilisha nyaraka zote za malipo ya kifedha wizara ya Fedha (Hazina)
ii.Kuwa Ilisha orodha ya malipo wizara ya Fedha (Hazina)
iii.Kuandaa taarifa ya kila mwezi
iv.Kusimamia rasilimari fedha kwa kuzingatia sheria ya fedha za Umma na kanuni zake za mwaka 2001 marejeo ya mwaka 2004 na miongozo inayotolewa na Serikali kupitia wizara ya Fedha.
v.Kuandaa usuluhishi wa fedha kila mwezi
vi.Kuandaa taarifa ya kifedha kila robo mwaka na nusu mwaka
vii.Wajibu wakupokea fedha na maduhuri kulingana na miongozo na kanauni za fedha
viii.Kulipa malipo mbalimbali kwa njia ya hundi kupitia hazina na Benk Kuu
ix.Kusimamia rasilimali fedha kwakuzingatia sheria ya fedha za iumma na kanuni zake za mwaka 2001 na marejeo ya mwaka 2004 na miongozo inayotolewa na serikali kupitia wizara ya fedha