Idara ya Huduma za Sheria
KAZI ZA IDARA ZA HUDUMA ZA KISHERIA
- kupokea malalamiko ya Uvunjifu wa haki za binadamu na ukiukwaji wa misingi ya utawala bora na kuyachambua kama yapo ndani ya mamlaka ya Tume au la.
- Kutoa ushauri wa Kisheria kwa Tume, wananchi wanaofika au kuwasilisha malalamiko mbele ya Tume.
- Kuandaa na kuwasilisha Taarifa ya hali ya haki za binadamu kwenye Taasisi za Kikanda na Kimataifa.
- Kufuatilia utekelezaji wa Mapendekezo ya Tume yanayotekene na chunguzi zilizofanyika, tafiti na mapendekezo yanayotokana na Mfumo wa Kimataifa wa Kujitathmini (Universal Periodic Review )(UPR).
- Kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi.