Kitengo cha Mipango na Ufuatiliaji
Kitengo cha Mipango na Ufuatiliaji.
i.Kuratibu utunzaji wa takwimu mbalimbali za za Tume.
ii.Kuratibu uandaaji na usimamizi wa Risk Register ya Tume.
iii.Kufanya uchambuzi wa takwimu za Tume Kuratibu utunzaji wa takwimu mbalimbali za za Tume
iv.Kuratibu uandaaji na usimamizi wa Risk Register ya Tume.
v.Kufanya uchambuzi wa takwimu za Tume.
vi.Kuandaa na kuhariri uandaaji wa formula za kitakwimu kwa kazi za utafiti(Research data).
vii.Kuratibu ufuatiliaji na tathmini ya utekelezaji shughuli za Tume (M&E).
viii.Kuratibu majibu ya maazimio mbalimbali ya vikao vya ndani.
Kuandaa mihutasari ya vikao
ix.Mratibu wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya Tume.
x.Mratibu wa maandiko ya kutafuta Fedha za utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa wadau wa ndani na nje.
xi.Kuandaa taarifa za utekelezaji wa shughuli za Tume kwa kila mwezi.
xiii.Kuratibu zoezi la uhamishaji wa vifungu (Bajeti Reallocation).Kuratibu na kufanya mapitio ya Mpango Mkakati wa Tume.
xiv.Kuratibu na kuandaa majibu ya hoja za wakaguzi wa ndani na nje.
xv.Kuratibu maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Tume pamoja na utekelezaji wake.
Kuratibu uaandaji na utekelezaji wa Mpango kazi wa Tume na mtiririko wa kifedha (Action Plan na Cash flow).
xvi.Kuratibu uaandaji wa mipango mbalimbali inayohusu utekelezaji wa majukumu ya Tume.