Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
i.Kuandaa Mipango Mikakati ya Ukaguzi
ii.Kuratibu mipango ya ukaguzi;
iii. Kutoa ushauri sahihi wa kifedha na kiutendaji kwa Katibu Mtendaji kuhusu matumizi ya fedha;
iv.Kuchambua mfumo uliopo wa uhasibu na kuchunguza malipo na makusanyo ya mapato
v.Kufanya ukaguzi wa utendaji kuhusu tathmin za miradi ya maendeleo
vi.kupitia taarifa ya za ukaguzi wa ndani na nje zinazohusu masuala ya menejimenti ya Tume
vii.Kufanya ukaguzi wa Kiutendaji au ukaguzi
viii.Kupitia mfumo wa udhibiti wa ndani wa Tume