Watumishi wanawake wa THBUB watembelea watoto Yatima Kituo cha Alhaafidhu Islamic Center, Kondoa Kuelemea maadhimisho siku ya wanawake Duniani
                            
                                 08 Mar, 2023
                            
                                
                            
                                Watumishi wanawake wa THBUB wakiwa katika picha ya pamoja na watoto yatima wa kituo cha Alhaafidhu Islamic Center kilichopo wilayani Kondoa walipotembelea kituoni hapo leo Machi 7, 2022.

