WATUMISHI AJIRA MPYA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA (THBUB) WAAPISHWA
29 Jan, 2025
Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora THBUB Mhe. Dkt.Thomas Masanja amewaapisha Watumishi wapya wa THBUB tisa (9) ambao ni Madereva, Watunza Kumbukumbu na Wandishi waendesha Ofisi.
Uapisho huo ulishuhudiwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Rasilimali watu Bw.Gabriel Robi na Afisa Uchunguzi Mkuu Bw. Fadhili Muganyizi.
Watumishi hao wamepangiwa kazi katika Ofisi za THBUB zilizopo Dodoma, Mtwara na Mwanza