Uapisho
09 Jan, 2025
Makamu mwenyekiti Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora THBUB Kamishna Mohamed Khamis Hamad amemuapisha Mkurugenzi wa Idara ya Elimu kwa Umma, Mawasiliano,Tafiti na Nyaraka Bi. Monica L. Mnanka kuwa mtumishi wa THBUB leo January 06, 2025.
Uapisho huo ulishuhudiwa na Afisa Rasilimali watu Bi. Irene Fisima na Afisa Uchunguzi Mkuu Bw. Fadhili Muganyizi.