Mhe Naibu Waziri atoa hotuba ufunguzi Kongamano la kukuza maadili na mapambano dhidi ya rushwa
                            
                                 30 Nov, 2022
                            
                                
                            
                                Mhe. Deogratius John Ndejembi (Mb), Naibu Waziri, Ofisi ya Rais - Utumishi wa Umma na Utawala Bora akitoa hotuba ya ufunguzi katika Kongamano la Kukuza Maadili na Mapambano Dhidi ya Rushwa lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Chimwaga uliopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma tarehe 26 Novemba, 2022.

