Baadhi ya Wananchi wakisikiliza mada toka kwa maafisa wa Tume na TAKUKURU
                            
                                 02 Dec, 2022
                            
                                
                            
                                Baadhi ya wanachi wakiendelea kusikiliza mada mbalimbali zinazotolewa na Maafisa kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wakati wa zoezi la utoaji elimu katika Soko la Mavunde Chang'ombe Jijini Dodoma tarehe 01 Disemba, 2022.

