Baadhi ya wanafunzi wakiwa wamebeba mabango yenye jumbe mbalimbali wakielekea kituo cha mikutano cha St. Gaspar, Kisasa wakati wa uzinduzi wa midahalo kuhusu rushwa, dawa za kulevya, haki za binadamu...
Mwanafunzi kutoka Chuo cha Mipango, Bwana Fredrick Nicholas akichangia hoja wakati wa mdahalo baina ya shule hiyo na Shule ya Sekondari Bunge Aprili 20,2024, kituo cha mikutano cha St. Gaspar, Kisasa...
Mwanafunzi wa Kidato cha Pili, Shule ya Sekondari Dodoma, Bi. Munira Tambuu akichangia hoja wakati wa mdahalo baina ya shule hiyo na Shule ya Sekondari Bunge Aprili 20,2024, kituo cha mikutano cha St....
Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe.Dkt. Thomas Masanja akitoa ufafanuzi wa baadhi ya masuala mara baada ya midahalo miwili iliyowashirikisha wanafunzi wa Shule za Sekondari za B...
Wanafunzi kutoka baadhi ya Shule za Msingi,Sekondari na Vyuo vya jijini Dodoma, pamoja na viongozi mbalimbali wakiandamana kuelekea kituo cha mikutano cha St. Gaspar, Kisasa wakati wa uzinduzi wa mida...
Kamishna Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe.Dkt.Thomas Masanja akitoa salamu wakati wa uzinduzi wa midahalo ya Shule za Msingi,Sekondari,Vyuo vya Katina Vyuo VikuuAprili 20,2024, kituo ch...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe.Rosemary Senyamule akitoa neno wakati wa uzinduzi wa midahalo ya Shule za Msingi,Sekondari,Vyuo vya Kati na Vyuo Vikuu Aprili 20,2024, kituo cha mikutano cha St. Gaspar, Ki...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Boniface Simbachawene(Mb) akitoa hotuba wakati wa uzinduzi wa midahalo ya Shule za Msingi,Sekondari,Vyuo vya K...