Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, George Semizigu akizungumza wakati wa mkutano baina ya THBUB na Taasisi za Serikali wakati wa kujadili utekelezaji wa mapendekezo ya Tume kufu...
Katibu Mtendaji Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Bwana Patience Ntwina akitoa maelezo ya awali wakati wa mkutano wa kujadili utekelezaji wa mapendekezo ya Tume kufuatia chunguzi za malalamiko...
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe.Mathew Mwaimu (JajiMstaafu)akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano baina ya Tume na taasisi za Serikali kuhusu utekelezaji wa mapendekezo ya Tu...