ADEM Logo
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

Tunajenga utamaduni wa kuheshimu haki za binadamu, misingi ya utawala bora na utu wa mtu
ADEM Logo

THBUB yaendelea kukusanya maoni

04 Aug, 2024
THBUB yaendelea kukusanya maoni

Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imeendeleakufanya ziara yake katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar.

Julai 31,2024 imekutana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Rashid Hadidi

Ujumbe THBUB uliongozwa na Makamu Mwenyekiti was Tume Mhe.Mohamed Khamis Hamad.

Aidha, Mhe. Mohamed alieleza kuwa lengo la ziara hiyo ni kukusanya maoni yawadau mbalimbali katika Uandaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa Haki za

Binadamu na Biashara.

Maeneo Mengine yaliyofikiwa ni Donge,chechele kuzungumza na Wananchiwanaongukwa na mashimo ya mchanga ,kuongea na Viongozi wa Hoteli na wafanyakazi na wakazi jirani wa huduma za kitalii.