ADEM Logo
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

Tunajenga utamaduni wa kuheshimu haki za binadamu, misingi ya utawala bora na utu wa mtu
ADEM Logo

Afisa wa Tume ya Haki za Binadamu akitoa elimu kwenye Sokoni

02 Dec, 2022
Afisa wa Tume ya Haki za Binadamu akitoa elimu kwenye Sokoni

Bw. Stephen Chami, Afisa Uchunguzi Mkuu kutoka Tume ya Haki za binadamu na Utawala Bora (THBUB) akitoa elimu juu ya masuala  ya baki za binadamu na utawala bora  katika Soko la Mavunde Chang'ombe lililopo Jijini Dodoma tarehe 01 Disemba, 2022.