Washiriki mbalimbali wakiwa katika mapitio ya Nyaraka kwaajili ya Uandaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa Haki za Binadamu na Biashara Mei20,2024 Ukumbi wa Gold Crest Arusha.
Juvenalis Motete Mwezeshaji, akieleza kwa kifupi namna washiriki watakavyopitia nyaraka kwaajili ya Uandaaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa Biashara na Haki za Binadamu, Mei 20,2024 katika Ukumbi wa G...

Afisa Programu Mwandamizi na Uwajibikaji wa Makampuni na Biashara ,Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Bi.Joyce Komanya akitoa salamu za Kituo hicho kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji,wakati wa Ufungu...
Katibu Msaidizi Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw.Juma Kalibona akitoa maelezo ya awali namna Tume inavyotekeleza Uandaaji wa Mpango Kazi wa Kitaifa wa Haki za Binadamu na Biashara Mei 21,2...