ADEM Logo
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

Tunajenga utamaduni wa kuheshimu haki za binadamu, misingi ya utawala bora na utu wa mtu
ADEM Logo

Tanzania kuendelea kulinda na kutetea haki za Wanawake

23 Oct, 2023
Tanzania kuendelea kulinda na kutetea haki za  Wanawake

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itaendelea kukuza na kulinda haki za wanawake na kuhakikisha  ananufaika na haki za bianadamu na watu.kwa kuzingatia matakwa ya Itifai ya Maputo ya mwaka 2003.

Kauli hiyo imetolewa leo tarehe 22 Oktoba 2023 na Mkurugenzi Msaidizi kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Bw. Richard Kilanga wakati akitoa maelezo ya nchi kuhusu hali ya haki za wanawake nchini ikiwa ni mwendelezo wa vikao vya Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu