10
Fri, Jul
7 New Articles

THBUB yashiriki mkutano wa Ombudsuman Djibout

News
Typography

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), ikiwakilishwa na  Katibu Mtendaji Bi Mary Massay, Mkurugenzi wa Utawala Bora Bi Fatma Muya na  Afisa Uchunguzi Bw. Vicenti Mbombo, imeshiriki mkutano  wa   Omboudsuman   Uliofanyika Djibout, Machi 6 hadi 8, mwaka huu.

Akieleza yaliyojadiliwa, Mkurugenzi wa Utawala Bora, Bi Fatma Muya amesema:Mkutano huo mkubwa, ulilenga kujadili wajibu wa ofisi za Omboudsuman katika kukuza haki za binadamu na amani katika nchi husika.

Aliongeza kuwa,  jumla  ya  Omboudsuman  na Maafisa Uchunguzi  thelathini na tano (35),  Kutoka nchi kumi na tatu (13) Duniani Walishiliki mkutano huo.

Alizitaja nchi zilizoshiriki mkutano huo ni pamoja na  Djibout, Tanzania, Kenya, Uganda, Egypt, Ethiopia, Mouritania, Morocco, Rusia, Somalia, Burundi, South Africa na Libya.

.

 

Sign up via our free email subscription service to receive notifications when new information is available.