ADEM Logo
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

Tunajenga utamaduni wa kuheshimu haki za binadamu, misingi ya utawala bora na utu wa mtu
ADEM Logo

Maswali yaulizwayo mara kwa mara

Ndiyo unaweza.
Ndani ya siku saba (7) za kazi utajulishwa kupokelewa kwa lalamiko lako na kupatiwa namba ya jalada la lalamiko uliloliwasilisha.
Kuna njia kuu tatu (3) za kuwasilisha lalamiko Tume. Nazo ni: 1. Kwa kufika kwenye mojawapo ya ofisi ya Tume na kuwasilisha lalamiko. 2. Kwa kuandika barua na kuituma kwenye ofisi ya Tume iliyokaribu nawe. 3. Kwa njia ya mtandao - kupitia tovuti ya Tume, Mobile App na ... NB: kwa taarifa za kina fun...