Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti Mhe.Mohamed Khamis Hamad (watatu kulia)akiwa katika picha ya na Maafisa wa Jeshi la Polisi la Nzega Agosti 20,2024
Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti Mhe.Mohamed Khamis Hamad (watatu kulia)akiwa katika picha ya na Maafisa wa Jeshi la Polisi la Nzega Agosti 20,2024
Ujumbe kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora ulioongoza na Makamu Mwenyekiti wa Tume hiyo Mhe Mohamed Khamis Hamad (aliyekaa katikati) pamoja na watendaji wa Kata na vijiji kumi na tano kuto...
Makamu mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mhe.Mohamed Khamis Hamad akizungumza na Wananchi wa Kata ya Mwasala Wilaya ya Nzega ,Agosti 19,2024 Tabora.
Kamishna Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mhe.Nyanda shuli akizungumza katika kipindi cha Powerbreakfast kinachorushwa kupitia Clouds Fm,Agosti 27,2024
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule akipokea Kitabu cha taarifa ya Miaka ishirini ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora alipotembelea banda la Tume katika Maonesho ya Nanenane yanayoen...
Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Rashid Hadidi akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora ,mara baada ya mazungumzo yaliyofainyika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa...
Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Rashid Hadidi akizungumza na Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora ,walipofikia kumueleza lengo la ziara ya tume Mkoani hapo,Julai2024,Zanzibar....
Wajumbe wakufuatilia maoni ya Uandaaji Mpango Kazi wa Kitaifa wa Haki za Binadamu na Biashara wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria Utumishi na Utawala Bora ,Mhe....
Katibu Mtendaji Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw.Patience Ntwina akizungumza wakati wa kikao na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria Utumishi na Utawala Bora ,Mhe.Haroun Ali Suleiman...