05
Fri, Jun
5 New Articles

Rais Magufuli Ateua Mwenyekiti na Makamishna wa Tume ya Haki za Binadamu

News
Typography

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Jaji Mstaafu Mathew Pauwa Mhina Mwaimu kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.