Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora ,iliandaa mkutano leo tarehe 10/08/2016 ili kuzungumzia tamko la jeshi la Polisi la tarehe 07/06/2016 la kuzuia mikutano na maandamano ya vyama vya siasa isiyo ya kiutendaji ,na tamko la CHADEMA kuhusu "UKUTA"na mikutano wanayopanga kufanya tarehe 01 Septemba,2016.Pakua Habari kamili.
Tamko la THBUB kuhusu mikutano na maandamano ya vyama vya siasa
Typography
- Font Size
- Default
- Reading Mode