Naibu Katibu Mtendaji THBUB, Juma Msafiri Karibona (kulia) akibadilishana mawazo na Mratibu Taifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Wakili Onesmo Olengurumwa (katikati) baada ya mkutano wa m...
Kamishna, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) ofisi ya Zanzibar, Mhe. Khatib M. Mwinyichande (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja wadau wengine watetezi wa haki za binaadamu kutoka taa...
Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti Mhe.Mohamed Khamis Hamad ukiwa katika picha ya pamoja na Katibu Tawala Wilaya ya Mbulu Bw.Paulo Bura mara baada ya Ma...
Mkurugenzi Idara ya Elimu kwa Umma Mawasiliano Tafiti na Nyaraka Bi.Monica Mnanka akitoa utambulisho wa awali kwa Watendaji Kata wa Halmashauri ya Mji wa kabla ya kuanza kutoa elimu ya haki za binadam...
Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti Mhe.Mohamed Khamis Hamad ukiwa katika picha ya pamoja na Askari Polisi wa Kituo cha Babati mara baada ya kuwapatia e...
Makamu Mwenyekiti Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mhe.Mohamed Khamis Hamad akizungumza na Askari Magereza wa Gereza la Babatia kuhusu Majukumu ya THBUB alipotembelea katika Gereza hilo ,Ma...
Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti Mhe.Mohamed Khamis Hamad ukiwa katika picha ya pamoja na Askari Magereza wa Gereza la Babati mara baada ya kuwapatia...
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mhe.Mathew Mwaimu (JajiMstaafu) katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa shamba la kahawa la Accasia lililopo kijiji cha Mang'ola Juu kata ya Daa...
Watendaji Kata wa Halmashauri ya Mji wa Babati wakifuatilia elimu ya haki za binadamu na utawala bora kutoka kwa Ujumbe wa THBUB(hawapo pichani)Machi 19,2025 katika ukumbi wa Halmashauri hiyo
Afisa Uchunguzi Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw.Halfan Botea akitoa elimu ya haki za binadamu kwa Watendaji Kata wa Halmashauri ya Mji wa Babati (hawapo pichani) Machi 19,2025 katika uku...