Picha ya Pamoja Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti Mhe.Mohamed Khamis Hamad wakiwa katika picha ya pamoja na Watendaji Kata wa Halmashauri ya Wilaya ya...
Baadhi ya Wakazi wa Kijiji cha Gumanga wakiwa katika Mkutano wa hadhara uliondaliwa na THBUB kwa lengo la kutoa elimu ya haki za binadamu na misingi ya utawala bora pamoja na kuwasilisha malalamiko...
Afisa Dawati kituo Kikuu cha Polisi Singida CPL.Eva Masongwe akizungumza na Wanafunzi wa Sekondari ya Mkalama One kuhusu namna ya kujilinda na Vitendo vya Kikatili Januari 24,2025 Singida
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mhe.Mohamed Khamis Hamad akizungumza na wananchi kuhusu haki za binadamu na misingi ya utawala bora katika kata ya Kinampanda, Wialaya ya...
Makamu mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Tumaini iliyopo Mkoani Singida Januari,23,2025
Makamu Mwenyekiti Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mhe.Mohamed Khamis Hamad akizungumza na Wanafunzi wa Chuo cha Kinampanda kilichopo Wilaya ya Iramba Mkoani Singida wakati wa utoaji wa elimu...
Baadhi ya Askari wa Jeshi la Magereza katika Gereza la Wilaya ya Singida wakipata elimu ya haki za binadamu na misingi ya Utawla bora Januari 21,2025
Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika picha ya pamoja na viongozi wa Kituo Kikuu cha Polisi Singida na Maafisa kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida Januari 21,2025
Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika picha ya pamoja na Viongozi wa Gereza la Singida na Maafisa kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida Januari 21,2025.
Watendaji wa Kata Manispaa ya Singida wakifuatilia mafunzo ya haki za binadamu na misingi ya utawala bora wakati wa Ziara ya Tume ya Haki za Binadmu na Utawala Bora Januari 20,2025 Mkoani Singida