Mchunguzi Mkuu Msaidizi Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw.Halfan Botea akitoa elimu ya haki za binadamu na utawala bora kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kiteto Machi 28,2025 Kiteto
Mchunguzi Mkuu Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw.Moses Mfundo(kulia) akimsikiliza Mwananchi Mkazi wa Kiteto wakati wa Mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Kabaaya Machi 28,2025 Kiteto H...
Makamu Mwenyekiti Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mhe.Mohamed Khamis Hamad akimkabidhi machapisho ya Ijue THBUB,Utawala Bora na Utaratibu wa kuwasilisha Malalamiko Afisa Utumishi wa Halmash...
Wanafunzi Shule ya Sekondari Nangwa wakifuatilia utoaji elimu ya haki za binadamu na utawala bora kutoka kwa ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora,(haupo pichani) Machi 24,2025 Mkoani M...
Mchunguzi Mkuu Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw.Raphael Mbwambo akitoa elimu ya utawala bora kwa Watendaji kata wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu(Hawapo Pichani) Machi 23,2025
Wananchi Kata yaTumati Wilaya ya Mbulu wakifuatilia utoaji wa elimu ya haki za binadamu na utawala bora kutoka kwa ujumbe wa THBUB(haupo pichani) Machi 23,2025 Manyara
Picha ya pamoja Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti Mhe Mohamed Khamis Hamad wakiwa na Watendaji Kata wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu na (wapili Kuto...