Naibu Waziri Wizara ya Katiba na Sheria (WKS), Mhe. Jumanne Sagini (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Tume na WKS mara baada ya Mhe. Waziri kuzungumza na viongozi hao Makao Makuu y...
Naibu Waziri Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Jumanne Sagini akizungumza na uongozi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, mara baada ya kupokea taarifa kutoka kwa Kaimu Mwenyekiti wa Tume, Mei...
Kaimu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Thomas Masanja akitoa taarifa kuhusu utendaji kazi wa Tume wakati wa ziara ya Naibu Waziri Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Juma...
Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Bwana Patience Ntwina akitoa maelezo ya awali kwa Naibu Waziri Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Jumanne Sagini Mei 8, 2024 Makao Makuu ya O...
Naibu Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Jumanne Sagini akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Makao Makuu ya Ofisi za Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora zilizopo Mtaa wa Kili...
Naibu Waziri Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Jumanne Sagini akisalimiana na Kaimu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Thomas Masanja mara baada ya kuwasili Makao Makuu y...