Tunajenga utamaduni wa kuheshimu haki za binadamu, misingi ya utawala bora na utu wa mtu
Mwenyekiti wa Mtaa wa Salama, Bw. Habasi Mwijuki (wapili kushoto) akifuatilia matukio wakati wa hafla ya uzinduzi wa bustani ya miti iliyoanzishwa na kutunzwa na THBUB katika Mtaa wa Salama, Nkuhungu,...
Mkurugenzi wa Haki za Binadamu kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Bi. Nkasori Sarakikya (kulia) na Katibu Mtendaji Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Bw. Patience Ntwina (kushoto) wakiz...
Mkurugenzi wa Haki za Binadamu kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Bi. Nkasori Sarakikya (katikati) akimwagilia mti aliopanda katika bustani ya miti iliyoanzishwa na kutunzwa na THBUB katika Mtaa wa Sa...
Mkurugenzi wa Haki za Binadamu kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Bi. Nkasori Sarakikya akitoa hotuba wakati wa hafla ya uzinduzi wa bustani ya miti iliyoanzishwa na kutunzwa na THBUB katika Mtaa wa S...
Mkurugenzi wa Haki za Binadamu kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Bi. Nkasori Sarakikya (kushoto) na Katibu Mtendaji Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Bw. Patience Ntwina (kulia) wakif...
Mkurugenzi wa Haki za Binadamu kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Bi. Nkasori Sarakikya (katikati waliokaa) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa THBUB na Serikali mara baada ya uzindu...
Katibu Mtendaji Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Bw. Patience Ntwina akitoa hotuba wakati wa hafla ya uzinduzi wa bustani ya miti iliyoanzishwa na kutunzwa na THBUB katika Mtaa wa Sal...