Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Eliakim Maswi akifungua Mkutano wa Baraza la 23 la Wafanyakazi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Februali 05, 2025 Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi ambaye pia ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Bw. Patience Ntwina akitoa Taarifa ya Mkutano wa Baraza la 23 la Wafanyakazi wa T...
Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi (TUGHE) Tawi la Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw. Pontian Kitorobombo akitoa neno la shukrani kwa mgeni rasmi wa Baraza la 23 la wafanyakazi wa THBUB mar...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Eliakim Maswi (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja Menejimenti na wajumbe wa Baraza la 23 la Wafanyakazi THBUB mara baada ya kufunguzi wa Baraza hilo...
Makamu Mwenyekiti Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mhe.Mohamed Khamis Hamad akimkabidhi Mkuu wa Gereza la Manyoni Bw.Sikai Lubeleje vipeperushi vya Ijue Tume,Utawala bora na utaratibu wakuwas...
Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika picha ya pamoja na viongozi wa Kituo cha Polisi Manyoni ,Afisa kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida Bi.Nasembo Kazeni (Kulia) na Mwakilish...
Makamu Mwenyekiti Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mhe.Mohamed Khamis Hamad (Kulia) akimkabidhi vipeperushi vya Ijue Tume,Utawala bora na utaratibu wakuwasilisha malalamiko Mwalimu Mkuu wa Sh...
Afisa Uchunguzi Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora,Bwa.Paul Sulle akitoa elimu ya haki za binadamu na misingi ya utawala bora kwa Watendaji Kata wa Wilaya ya Manyoni Januari 30,2025 Singida.
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora,Mhe. Mohamed Khamis Hamad akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Manyoni, Januari 30,2025 Si...
Picha ya Pamoja Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti Mhe.Mohamed Khamis Hamad wakiwa katika picha ya pamoja na Watendaji Kata wa Halmashauri ya Wilaya ya...